IQNA-Kardinali Robert Prevost ametangazwa kuwa kiongozi mpya wa Kanisa Katoliki. Yeye ndiye Papa wa kwanza kutoka Marekani na kuchukua jina la papa Leo XIV.
Habari ID: 3480657 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/09
IQNA – Ayatullah Mostafa Mohaghegh Damad, mwanazuoni mwandamizi wa Kiislamu kutoka Iran, ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha kiongozi wa Wakatoliki duniani, Papa Francis, akimtaja marehemu kama kiongozi wa kidini wa kimataifa aliyejitolea kwa ajili ya amani, haki, na mazungumzo ya kidini baina ya imani mbalimbali.
Habari ID: 3480587 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/23
IQNA- Kiongozi Mkuu wa kidini wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq Ayatullah Sayyid Ali Sistani amesema, Papa Francis alikuwa na hadhi ya juu kiroho mbele ya mataifa mengi kutokana na mchango wake wa kipekee katika kuhimiza amani na kuvumiliana pamoja na kuonyesha mshikamano na watu wanaodhulumiwa duniani.
Habari ID: 3480579 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/22
IQNA-Papa Francis, kiongozi wa Kanisa Katoliki, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88, katika makazi yake ya Casa Santa Marta, ndani ya jiji la Vatikan.
Habari ID: 3480572 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/21
Mazungumzo ya Kidini
IQNA - Kibao chenye nukuu kutoka hotuba za Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu Nabii Isa Masih (Amani ya Iwe Juu Yake) ambaye ni maarufu kama Yesu miongoni mwa Wakristo, kimewasilishwa kwa Papa Francis, Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani.
Habari ID: 3480009 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/05
Jinai za Israel
IQNA-Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya utawala wa Kizayuni wa Israel imemwita balozi wa Vatican katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel) kwa ajili ya kusailiwa. Ni baada ya Papa Francis, kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani kukosoa vita na mauaji yanaytekelezwa na utawala katili wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3479957 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/26
Mazungumzo ya Dini
IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika salamu zake za Krismasi kwa Papa Francis, amesema: Kusherehekea kuzaliwa kwa Nabii Isa Masih (AS) ni fursa ya kiroho ya kukumbusha Amri za Mwenyezi Mungu na mafundisho ya thamani ya manabii wote kwa ajili ya kutimiza haki, amani, na uhuru.
Habari ID: 3479954 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/26
Ujumbe
IQNA-Rais wa Iran Masoud Pezeshkian, katika ujumbe wake kwa Papa Francis, ametoa wito wa kumtaka atumie ofisi yake kusaidia kukomesha "uvamizi usio wa kibinadamu" wa utawala wa Israel dhidi ya watu wa Gaza na Lebanon, na kuanzisha usitishaji vita ili kuzuia kuenea kwa vita katika eneo la Asia Magharibi.
Habari ID: 3479785 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/21
Jinai za Israel
IQNA-Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani ametoa mwito wa kufanyika uchunguzi wa jamii ya kimataifa kuhusu "mauaji ya halaiki" ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza
Habari ID: 3479767 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/18
Maelewano ya kidini
IQNA - Wakati wa safari yake katika nchi kubwa zaidi ya Waislamu duniani, Papa Francis alitembelea Msikiti wa Istighlal katika mji mkuu wa Indonesia wa Jakarta siku ya Alhamisi.
Habari ID: 3479389 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/06
Watetezi wa Qur'ani
TEHRAN (IQNA)- Kwa mara nyingine tena Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis amelaani vitendo vya karibuni vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi za Sweden na Denmark na kusisitiza kuwa, vitendo hivyo vya kudhalilisha matukufu ya kidini havina tofauti na ukatili.
Habari ID: 3477371 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/02
Chuki dhidi ya Uislamu
ROME (IQNA) - Papa Francis, Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, amelaani kibali alichopewa mtu mwenye msimamo mkali kuchoma nakala ya Qur'ani Tukufu nchini Uswidi wiki iliyopita.
Habari ID: 3477230 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/03
Mazungumzo ya Kidini
TEHRAN (IQNA) - Siku ya Jumamosi, Papa Francis Kiongozi wa Kanisa Katoloji Duniani alikutana na Sheikh Mohammad Al-Issa, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Waislamu Ulimwenguni (MWL), katika ofisi yake katika Jumba la Saint Martha huko Vatican.
Habari ID: 3477062 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/28
Mazungumzo ya kidini
TEHRAN (IQNA)-Akiwahutubia washiriki wa Kongamano la VI la Mazungumzo Baina ya Dini, Papa Francis aliwapongeza washiriki kutokana na mtazamo wao kuhusu mazungumzo baina ya dini.
Habari ID: 3476954 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/04
Uislamu na Ukristo
TEHRAN (IQNA) – Rais wa Chuo Kikuu cha Dini na Madhehebu za Kiislamu cha Iran amekutana na Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani na kumfahamisha kuhusu shughuli cha chuo hicho.
Habari ID: 3476700 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/14
Uislamu na Ukristo
TEHRAN (IQNA) – Papa Francis, katika ziara ya kwanza ya kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, alisafiri hadi Iraq mwezi Machi mwaka jana.
Habari ID: 3476271 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/19
Mazungumzo baina ya dini
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi mkuu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq Ayatullah Ali al-Sistani amsisitiza haja ya kuzingatiwa maadili ya mshikamano unaotilia mkazo kuheshimiana miongoni mwa wafuasi wa imani au dini mbali mbali.
Habari ID: 3476219 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/08
TEHRAN (IQNA) – Kongamano la mazungumzo ya dini mbalimbali lilifanyika nchini Bahrain mapema mwezi huu na lilihudhuriwa na Kiongozi wa Kanisa Katoloki Papa Francis na Sheikh Mkuu wa Kituo cha Kiislamu Al-Azhar cha Misri Sheikh Ahmed el-Tayeb.
Habari ID: 3476161 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/28
Jinai nchini Bahrain
TEHRAN (IQNA) - Jumuiya ya Kitaifa ya Kiislamu ya Al-Wefaq ambayo ni kundi kuu la upinzani nchini Bahrain linasema utawala wa ukoo wa Aal Khalifah unatumia vibaya ziara ya Papa Francis nchini humo ili kuficha jinai zake na ukiukaji wa haki za binadamu.
Habari ID: 3476036 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/05
Jinai za Kanisa
TEHRAN (IQNA)- Hatimaye, baada ya kusubiri kwa muda mrefu, Papa Francis, kiongozi wa Kanisa Katoliki, amekwenda Kanada (Canada) na kuomba msamaha kwa wenyeji asilia wa nchi hiyo kutokana na kuhusika kanisa hilo katika moja ya jinai na maafa mabaya zaidi ya kibinadamu nchini humo.
Habari ID: 3475545 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/27